Haya hapa Majina ya Wakurugenzi wa CUF ambao uteuzi wao umetenguliwa na Prof. Lipumba
Kila kukicha mgogoro ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) unazidi kuchukua sura mpya. Jana viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi wamekutana kujadili mgogoro wa CUF sababu ni moja ya vyama vinavyounda UKAWA.

Viongozi wa UKAWA jana wametangaza kuwa hawamtambui Prof. Lipumba kama mwenyekiti wa CUF na kuwa wao watashirikiana na viongozi halali wa CUF, na kutilia maanani maazimio yaliy0pitishwa katika vikao halali vya CUF.

 Aidha, mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amewataka viongozi wa chama hicho nchini kote kumpuuza na kutompa ushirikiano Prof. Lipumba kwani ni msaliti.

Kwa upande wake yeye, Prof. Lipumba ameendelea kutekekelza majukumu yake kama Mwenyekiti wa CUF ambapo jana ametangaza kutengua uteuzi wa Wakurugenzi na Manaibu Wakurugenzi wa Idara mbalimbali za Chama cha Wananchi (CUF).

Wakurugenzi na Manaibu Wakurugenzi ambao uteuzi wao umetenguliwa ni pamoja na;-
  1.  Joran Bashange – Mkurugenzi wa Uchumi na Fedha
  2.  Ismail Jussa- Mkurugenzi wa Mambo ya Nje
  3.  Mustafa Wandwi- Mkurugenzi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama
  4.  Kurufumu Mchuchuli- Mkurugenzi wa Haki za Binadamu na Sheria
  5.  Shaweji Mketo- Naibu Mkurugenzi wa Mipango na Uchaguzi na
  6.   Abdalla Mtolea- Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Nje
Aidha Prof. Lipumba amesema kuwa hajali kama viongozi wa UKAWA wanamtaka au hawamtaki kwani yeye anachojali ni kuijenga CUF.Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top