KUPENDEZA ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili japo kidoooogo kwa sasa wadau wameanza kutokelezea na mavazi mengi, huku wakaka na wadada wakipendeza sana na maumbo mazuri ya kiafrika waliyojaaliwa.
Hebu nawe bishost angalia kwa makini haya mavazi yaliyoshonwa kwa kitenge uvae upendeze jaman eeeh!!!
Aina ya mshono juu yangu, mashono na bei yake juu yakoooo!!!
TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top