BREAKING NEWZZ:MTU MMOJA ADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU MKOANI DODOMA JIONI YA LEO | Masama Blog

BREAKING NEWZZ:MTU MMOJA ADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU MKOANI DODOMA JIONI YA LEO


 Ajali hii imetokea leo katika eneo la Emaus, Mkoani Dodoma ambapo imehusisha gari kubwa mbili na moja dogo aina ya Toyota Noah. Inadaiwa kuwa Mtu mmoja amepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika mpaka sasa.
 Askari Polisi wakiwa eneo la tukio kuokoa majeruhi.

Back To Top