BREAKING NEWZZ!!:- MEYA WA ZAMANI WA DAR NA MBUNGE WA EAST AFRICA MASABURI AFARIKI DUNIA!! | Masama Blog


BREAKING NEWZZ!!:- MEYA WA ZAMANI WA DAR NA MBUNGE WA EAST AFRICA MASABURI AFARIKI DUNIA!!

image.jpegAliyewahi kuwa Meya wa Dar na Mbunge wa Afrika Mashariki, ndg Didas Masaburi amefariki dunia usiku huu hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.


- Kiongozi wa familia ya Marehemu mtoto wake wa kwanza ambaye ni Diwani wa Chanika Mh. Ojambi D. Masaburi amesema kwamba Msiba wa Marehemu baba yake utafanyikia katika Chuo kilichokuwa kinamilikiwa na Marehemu Masaburi kilichoko Chanika "Institute of Procurement and Supply" na kwamba hata Mazishi yatafanikia huko huko katika maeneo ya Chuo hicho kama Marehemu mwenyewe alivyokuwa ameagiza akiwa hai.

Diwani huyo amesema kwamba kikao cha familia hiyo kimeamua kwamba tarehe 17/10/2018 ndiyo iwe siku ya mazishi ya Marehemu Masaburi ambaye hivi karibuni aligombea ubunge wa Ubungo na kushindwa na Mbunge wa sasa Saeed Kubenea.

MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI MAREHEMU DIDAS MASABURI.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200