Beyonce aongoza list ya mastaa wanaolipwa pesa nyingi kufanya show.. | Masama Blog


Beyonce aongoza list ya mastaa wanaolipwa pesa nyingi kufanya show..

Mastaa wa muziki nchini Marekani kila siku wanazidi kutengeneza pesa kutokana na kazi zao ikiwemo mikataba ya showz mbalimbali wanazozifanya. Ili kuhakikisha haupitwi na chochote mtu wangu nakusogezea hii kuhusu kiasi cha pesa wanacholipwa mastaa wakubwa kama Drake, Rihanna, Beyonce, Nicki Minaj, Jay Z na wengine wengi ili kufanya show moja tu.
Inawezekana ulikuwa na maswali juu ya gharama wanazotoza mastaa hawa ili kufanya show moja tu, Mrembo Beyonce ametajwa kuongoza kwa kuhitaji pesa nyingi zaidi ili aweze kufanya show moja tu popote duniani.
Hii ni list ya wasanii na kiasi cha pesa wanazotoza kwa show moja
Beyonce – Dola milioni 2 na zaidi
Drake – Dola Laki 5 mpaka Milioni 1.
Rihanna – Dola Milioni 2 na zaidi.
Kanye West – Dola Laki 5 na zaidi.
Lil Wayne – Dola Laki 4.
A$AP Rocky – Dola laki 3.
Fetty Wap – Dola Laki 6
Martin Garrix – Dola Laki moja na nusu.
Kendrick Lamar -Dola Laki 5 mpaka Milioni 1.
Nicki Minaj – Dola Laki 5.
J. Cole – Dola Laki 2.
The Weeknd – Dola Laki saba na nusu mpaka Milioni 1.
Avicii – Dola Laki 5.
Jay Z – Dola Milioni 1 na zaidi.
Pharrell Williams -Dola Laki 5 mpaka Milioni1.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200