Anayetuhumiwa kutoboa macho Buguruni DSM apandishwa Kizimbani..Anajiita Scorpion,Huyu HapaMkazi wa buguruni kwa mnyamani anayetuhumiwa kuwachoma watu visu na kisha kuwatoboa macho, Salum Henjewele maarufu kama Scorpion amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Ilala na kusomewa tena shtaka la unyang’anyi  wa kutumia silaha .
Scorpion ambaye alikamatwa baada ya kumchoma visu na kisha kumtoboa macho, Ally mkazi wa mabibo Hostel, alipandishwa kizimbania mahakamani hapo kwa mara ya kwanza September 23 mwaka huu.
Kesi hiyo inayosikilizwa na hakimu Adolf Sachore leo ilipangwa kwa ajili ya kutajwa na upande wa mashtaka umeieleza mahakama kuwa upepelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika.
Source: Mwananchi


Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top