Ticker

10/recent/ticker-posts

Hii Ndiyo Taarifa Mpya Toka Kwa Dk. Chris Mauki Na Mc. Luvanda...Usiiache kuisoma maana ni Shida ..Ona tu wanachofanya

"FAHAMU TALK"

Je unajua mahusiano yanaweza kuathiri uchumi na uchumi kuathiri mahusiano???🔥
Uskose FAHAMU TALK ya Anthony Luvanda  na Dr. Chris Mauki.  Nkurumah hall Chuo kikuu cha Dsm kuanzia saa 6 mchana. Kiwezesho ni sh 20,000 tu.  Kwenye maakuli anasimama Masanja Mkandamizaji na wali nyama yake.
Burudani kibao (Suprise)
Pata tiketi yako MAK Bookshop Mlimani city🔥🔥 House of Wisdom Bookshoop NHC house Posta,  Elite Bookstore (Mbezi Beach Samaki na Quality Plaza). Mr. Price na ofisi za Mc Luvanda Dar Free Market.🔥🔥 Kama umekosa zingine basi hii sio ya kukosa kabisaaa. 🔥
FAHAMU TALK, Jitambue, Ongeza Upeo Wako