Ticker

10/recent/ticker-posts

OMMY DIMPOZ AMCHOKONOA DIAMOND PLATNUMZ..HEBU MSIKIE

Ommy Dimpoz amekuwa akionesha magari anayomiliki bali kuonesha nyumba zake.Sababu yakutofanya hivyo amedai hapendi maisha yake yajulikane nakutia kionjo cha kumchokono Diamond,Nukuu ''kutangaza unanyumba kumi so what?''Na Diamond ni msanii pekeealiyedai ananyumba kumi anazomiliki.Mahusiano yao kwa sasa yapo mbali mbali toka Ommy kufanya kazi na Wema Sepetu,Ingawa Diamond anashiriki tuzo mbalimbali na kutoa video Ommy hajawahi kumpa sapoti.