Ticker

10/recent/ticker-posts

NAY WA MITEGO AMPOZA GWAJIMA, WATU WATAKA MAJIBU YA DNA YA MTOTO WA FLORA MBASHA..SOMA ALICHOMSHAURI

Week Kadhaa zimepita sasa toka Nay wa Mitego alipotoa majibu ya DNA ya mtoto wake baada ya Utata kutokea kuwa Mtoto si wake, Majibu ya DNA yalitoka na yakaonyesha kweli mtoto ni wa Nay wa Mitego ..
Kutokana na uamuzi wa Nay wa Mitego wa kwenda kuhakikisha  kama mtoto ni wake watu wameanza kuongea chini chini kuwa lazima na Emmanuel Mbasha aende kumpima mtoto wake na Flora Mbasha kwani naye ana utata baada ya mume wa Flora kumtuhumu Askofu Gwajima kuwa anamahusiano na Mke wake na ndio chanzo cha ndoa yao kuvunjika.....

Je wewe unamshaurije Emmanuel Mbasha?

Post a Comment

0 Comments