Ticker

10/recent/ticker-posts

HATIMAYE DIAMOND ATOBOA SIRI UJAUZITO WA ZARI!!..KUMBE WAMEPITA PAGUMU BALAA..JISOMEE


Diamond Platinumz
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul,”Sukari ya Warembo” amefunguka kuhusu ujauzito wa mwanadada Zari, “zarithebosslady”.
Usiku wa jana alipost picha za vyeti vya vipimo vya ultrasound na baadaye Zari akapost picha ya vipimo hivyo bila kuandika chochote.
Picha hizo zimewafanya watu kufunguka na kudai huenda mwaka huu wakabarikiwa kuwa na mtoto.

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Diamond na Zari
Hata hivyo inasemekana wimbo wa “nitampata wapi” ulikuwa dedicated kwa mrembo huyo ambaye ingawa mbali na kuwa na idadi kubwa ya warembo hajawahi kusingiziwa mtoto. Je uhusiano wao utadu

Post a Comment

0 Comments