Ticker

10/recent/ticker-posts

SHEEDAH:..MEYA JERRY SILAA WA ILALA NAYE NI HATAR HIVII?..AWAPA KAULI NZITO MASTAA MASANJA,MPOKI NA WENGINE..SOMA ALICHOWAAMBIA

Meya wa Manispaa ya Ilala Mhe.Jerry Silaa amewaacha hoi wachekeshaji maarufu Tanzania walipokutana jana baada ya kuwaambia naye ana kipaji kama wao ila kwa sasa anafanya kazi ya wananchi wa kata ya  Gongolamboto na Manispaa ya ilala...katika kuwatania alisema..''

Siasa ikikataa nitabanana na kina Mc pilipili,Masanja,Mpoki,Joti na wengine wengi  kwenye comedy.....
Kama hawa wenyewe hawana mbavu basi kipaji kipo....
Waiteni waje wajione wanavyocheka....