Ticker

10/recent/ticker-posts

HAKIKA ABDU BONGE ALIKUWA KIPENZI CHA WATU MAJONZI NA HUZUNI VYA TAWALA TIP TOP CONNECTION..ONA HAWA MASTAA WAKIWA MSIBANI

Msanii wa hip hop kutoka tamaduni muziki Sterio akiwa na Jabir mtangazaji wa TimesFm



Koba mwanamuziki kutoka morogoro akiwa msibani

Mirrow kutoka EndlessFame akiwa na Petman Wakuache


 
Master J pamoja na Diamond Platnumz

Pnc akiwa na Best naso

Mr Muganyizi pamoja na wasanii Koba ,Jabir wa Times FM

Shetta ,Diamond, na Hakim 5

Diamond Platnumz akiwasili katika msiba Tip Top Manzese

Shetta akiingia msibani pamoja na Mwarabu,Team WCB

Mkubwa Fella akijadili jambo
Kasimu Mganga moja ya wasanii wa kundi la Tip Top conection



Sterio akikabidhiwa daftari la rambirambi na Mkubwa Fella

Master J Mkurugenzi wa MJ RECORDS

Babu Tale mdogo wa marehemu

Maandalizi yakiwa yanaendelea kila kitakachojiri utakipata