Mkurugenzi
wa Mahusiano ya kimaendeleo wa Klabu ya Arsenal Bw. Sam Stone (Kulia)
akimkabidhi jezi ya timu hiyo Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa
PSPF Bw. Adam Mayingu. Kushoto ni Bw. Daniel Willey, Meneja wa Mahusiano
ya Kimaendeleo ya Arsenal. Maafisa hao wapo nchini kwa lengo la
kukutana na wadau mbalimbali ili kufungua mahusiano ya kibiashara,
katika mpango huo makocha wa timu hiyo na baadhi ya nyota waliowahi
kuchezea timu hiyo watapata fursa kutembelea Tanzania. Klabu ya Arsenal
ni kati ya klabu maarufu ulimwenguni ambayo inashiriki ligi maarufu
duniani ya Barclays.
Hizi ndizo Njia 16 za Kuondoa Sumu Mbalimbali Mwilini...!!!
-
Mwili unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika na mwili kwa namna
mbili, ama kupitia mazingira tunayoishi (viwanda, migodi nk) au kupitia
vy...
1 month ago