Ticker

10/recent/ticker-posts

KIMENUKA TENA INSTAGRAM DIAMOND PLATNUMZ ATUPIA PICHA YA WEMA NA KUANDIKA UJUMBE HUU....CHEKI MASHABIKI WALICHOMJIBU


Diamond Platnumz anafahamika kwa kushow love kwa kazi za wasanii wenzake kwenye Instagram. Mmoja wa wasanii walionufaika na shavu lake ni Shilole ambaye anapromote kava la single yake mpya ‘Malele’.

Akiweka picha hiyo, Diamond aliandika:
“Moja ya mfano mzuri tulionao Nchini…wakati anaanza kila mtu alimdharau na kumuona hatofika popote laikini leo hii Huwezi kuskia show kubwa inafanyika Nchini bila yeye Kuwepo…Dada zangu msikubali kuishi maisha ya kutegemea, Mbona mkijiamini wenyewe mnaweza… hivi hadi lini mtanyanyasika na Kuporwaporwa vitu baada ya Mahusiano kufa..Amkeni sasa! #Sio_wanaake_wote Huu mzigo wake mpya #MALELE.”

Hata hivyo mashabiki waliipigia mstari sentensi hii: Dada zangu msikubali kuishi maisha ya kutegemea, mbona mkijiamini wenyewe mnaweza… hivi hadi lini mtanyanyasika na kuporwaporwa vitu baada ya mahusiano kufa..Amkeni sasa!

Asilimia kubwa ya watu waliocomment kwenye post hiyo wanaamini sentesi hiyo imemlenga ex wake, Wema Sepetu.

Hizi ni baadhi ya comments:

Rinahjoe: Be a man niqque!! u’ve started to be a hypocrite, n a clapp_trapp man. On the ada syd no man z insecure as u as far as I can tell!!! Y all those insecurities lol… Yew too much now #SMFH hop t ‘ll be sweet if u behave manly!!! #PPB @diamondplatnumz

mamshafm: @diamondplatnumz punguza uswahili huo wewe ni msanii mkubwa. Kama ni ushauri huu ungeutoa kipindi upo kwenye mahaba mazito na @wemasepetu. Au kipindi hicho hukuona juhudi za Shilole? Na je juhudi zake na kuhongwa then kunyang’anywa vitu kwa wanawake vinahusianaje na juhudi za Shilole? Kila mkiachana na Wema wewe ndiyo hua mropokaji ropokaji tu. si tayari upo na Zari sasa mbona chokochoko kwa Wema haziishi? Hebu kukua kwako kwa akili na fikra kuende sambamba na kukua kwako kimuziki. Shame on you.

chasek84: Kwa caption hii,leo ndio nimeamini mjomba umeachika,sasa cha kufanya jikaze kiume,maana huyo unayempiga vijembe ndio màma wa shemeji yako,na ndio mkwe wa dada yako,mapenzi yafe,lkn udugu ubaki,sasa siku dada akijifungua mkikutana hospital na x wako,mtakuwa hamsalimiani,pia mjomba ulifanya haraka kujitika yule bi mkubwa,wakati bado unampenda x wako,ugomvi wenu ulikuwa unazungumzika,unaona sasa badio anakujia ndotoni,tatizo nini mjomba,au ndio nyota,dah kweli nimeamini kuna xna kuzidisha,ndio basi tena.

fetty94: Duu @diamondplatnumz kweli ww unahitaji ndimu na malimao maana umeumia sana mwanaume unatabia za kike ukiekewa mume mwenzio na wema cndo utazimia kweli wa tandale watandale tu hata aishi wapi

fartoolarge: Kuporwaporwa vitu…. hivi kuna yule mpenzi wake diamond, alinyang’anywa gari na vitu vingine baada ya kurudiana na diamond.. nani sijui vile… (wamanyema tunaongea ila chibu kazidi,… vijembe 101)

meggieimpostra: Kweli kuachwa kubayaaa hpn chezeaa sbb anajiabisha @diamondplatnumz na maneno yake mengine anayoandika inaonkna dhahiri imemuuma sanaaa sasa angalia ukifanychoo ujiulizi mbnaa @wemasepetu aongei lolote juu yako anafnya yake kwani wadhani hana anayoyajua kwako au hn la kuongea akutaka tuu so jieshimu na isitoshe utachongaaa weee mwsho wa siku unarudi kwake acha kujiabishaaa we ni mwanaume kufa kiumee kuachwa kupo kuibiwa kupoo ila we uliebiwa unayapokeaje na ujue yule ni mremboo so fanya yakooo.